Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kazi ya kulala Milioni tatu 

Wednesday , 12th May , 2021

Kampuni ya Eachnight kutoka nchini Marekani imetangaza nafasi za kazi ya kulala na watanunua usingizi wa mtu kwa Dola 1500 sawa na Tsh Milioni 3 na ushehe.

Picha ya mtu akiwa amelala

Taaarifa hiyo kutoka kwenye tovuti yao inaeleza kuwa nia ya kutangaza kazi hiyo ni kujua faida na hasara ya kulala ili kutoa ufahamu kwa jamii kuhusu usingizi. 

"Tulitaka kujaribu nadharia kadhaa juu ya faida na hasara za kulala ili kuipa jamii yetu ufahamu na umuhimu wa usingizi, tunajua kwamba usingizi mrefu una faida tofauti lakini tunataka kujaribu hii, na tunahitaji msaada wako" 

"Pia kushiriki katika majaribio haya ya kupima nadharia hii kama vile muda mzuri wa kulala, kuburudika na athari za kulala kwenye viwango vya juu" taarifa hiyo imeeleza

Kwa sasa wataanza kuajiri kikosi cha watu watano wenye weledi wa kulala usingizi na mwisho wa kutuma maombi ya kazi hiyo ni Mei 31 na litadumu kwa muda wa siku 30.

Vigezo vyake ni kuanzia miaka 18 na zaidi, wawe wanalala peke yao wakati wa usingizi, pia lazima wawe na ustadi mkubwa wa uandishi wa Kiingereza.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine