Friday , 7th May , 2021

Nahodha msaidizi wa klabu ya Yanga SC Haruna Niyonzima amesema wamejiandaa vizuri kuelekea mchezo wa watani wa jadi ana anafahamu vyema kuwa mchezo mkubwa huchezwa na wachezaji wakubwa, huku kocha akieleza kuwa kila mechi kwao ni sawa hivyo wamejipanga kucheza vizuri katika kila mechi.

Kocha wa Yanga Nasreddine Al Nabi na nahodha msaidizi wa klabu ya Yanga SC Haruna Niyonzima

Kocha msaidizi wa klabu ya Simba SC Selemani Matola amesema licha ya kuwa ni mechi ya Derby lakini watacheza vizuri dhidi ya Yanga SC bila kubutua kwani kwa kufanya hivyo watakuwa na nafasi kubwa ya kushinda.

Mechi itatangazwa mubashara kupitia East Africa Radio kuanzia saa 10:00 jioni.

Zaidi tazama video hapo chini