Tattoo walizochora Harmonize na Kajala kwenye shingo zao
Wawili hao wamechora Tattoo hizo kwenye shingo zao ambapo Harmonize ameandika herufi ya jina la Kajala kwa maana ya 'K' na mpenzi wake Kajala Masanja naye ameandika herufi 'H'.
Kwa sasa penzi la Harmonize na Kajala ndiyo linazungumziwa zaidi kwenye habari za kiburudani na siku ya Valentine walienda Visiwani Zanzibar kula bata, pia msanii Harmonize amemtungia wimbo wa kumsifia mpenzi wake huyo.
Zaidi tazama hapa chini kwenye video.