Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Uchaguzi Uganda, mvutano wa kizazi cha jana na leo

Thursday , 14th Jan , 2021

Raia wa Uganda leo wanashiriki katika zoezi la  kihistoria la upigaji kura ili kuchagua rais na wabunge wa kuliongoza taifa hilo.

Kulia Mgombea wa urais wa Uganda Yoweri Mseveni (NRM), na kushoto ni mgombea wa urais wa uganda Robert Kyagulanyi Ssentamu

Katika maeneo mbalimbali ya Uganda milolongo mirefu imeshuhudiwa katika vituo vya kupigia kura ikiashiria kuendelea kwa zoezi la upigaji kura ambalo linatarajia kukamilka saa kumi jioni kwa saa za Uganda, ingawa Tume ya uchaguzi nchini humo ilisema kuwa wapigakura wote waliojisajiri ambao watakuwa bado katika mstari wa kupiga kura wataruhusiwa kupiga kura yao

Wanaowania nafasi ya urais ni wagombea 11 akiwemo mwanamke mmoja huku upinzani mkali ukionekana dhidi ya wagombea wawili ambao ni Yoweri Museveni wa chama cha National Resistance Movement (NRM), anayetetea kuongoza Uganda kwa muhula mwingine wa sita na  mwanamuziki, Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine.

Aidha baadhi ya wadau wa masuala ya siasa na viongozi wamekuwa na mitazamo mbalimbali kuhusiana na uchaguzi ambapo wamesema kwenye uchaguzi huu kuna vizazi viwili vina vutana ambavyo ni kizazi cha jana na kizazi cha leo ambacho kinaona matatizo yaliyopo yamesababishwa na kizazi kilichopita.

Uganda ipo kwenye uchaguzi huku waangalizi wa uchaguzi wa marekani wakiwa wamezuiwa kuingia nchini sambamba na mitandao ya kijamii ikiwa imefunguwa.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine