Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Kina Halima si chochote wacha waende"- BAWACHA

Saturday , 28th Nov , 2020

Viongozi wa BAWACHA, kutoka mikoa mbalimbali nchini wamekutana kuzungumza, ambapo kwa umoja wao wamelaani vikali kitendo kilichofanywa na wanachama 19 wa chama hicho kwenda kula kiapo cha ubunge bila ridhaa ya chama na kupongeza maamuzi yaliyotolewa ya kuwafukuza uanachama.

Makamu Mwenyekiti wa BAWACHA Zanzibar, Sharifa Suleimani.

Akizungumza hii leo Novemba 28, 2020, Makamu Mwenyekiti wa BAWACHA Zanzibar, Sharifa Suleimani, amesema kuwa licha ya kwamba maamuzi yaliyofanywa na wanawake wenzao wakiongozwa na aliyekuwa mwenyekiti wa baraza hilo Halima Mdee, kiliwahuzunisha sana lakini wao wataendelea kusonga mbele.

"Ninaunga mkono maamuzi ya kamati kuu ya kuwavua uanachama, kutoka hivi sasa wanawake wote tunatakiwa turudi majimboni mwetu, kuendelea kufanya kazi za chama, kuondoka kwao siyo lolote si chochote wacha waende", amesema Sharifa.

Kwa upande wake Mweka hazina wa baraza hilo Catherine Ruge amesema kuwa wanawake wengi walio CHADEMA walimuamini sana Halima Mdee, lakini kawaangusha kwa maamuzi yake, "Wanawake wengi wa CHADEMA tulimuamini Mwenyekiti wetu Halima Mdee, ambaye amefukuzwa uanachama na tulimuona kama mwanamke wa mfano, kiongozi shupavu, jasiri, mwenye msimamo na anayejitambua, lakini Novemba 24,  aliamua kuibadilisha historia yake heshima aliyoijenga kupitia chadema kwa zaidi ya miaka 15 imefutika kwa kweli tunasikitika sana".

HABARI ZAIDI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali