Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Nilimroga bosi wangu, akiniona anisahau" - Frans

Thursday , 19th Nov , 2020

Muimbaji wa nyimbo za Injili Frans Kalitusi amefunguka kusema kitendo cha kuokoka kumemfanya aache mambo ya kuroga na kushinda kuwaangalia wanawake kwani mambo hayo alikuwa anayafanya kabla ya kujikabidhi kwa Yesu.

Muimbaji wa nyimbo za Injili France Kalitusi

Akizungumzia hilo kupitia EATV & EA Radio Digital, amesema kabla ya kuokoka hakuwa kama alivyo sasa, ila baada ya kuokoka anaona anakubalika na jamii inamuelewa kile anachokifanya kwenye kazi ya kutangaza neno la Mungu.

"Kabla ya kuokoka nilikuwa naenda sana kwa waganga kuroga ili mambo yangu yaende au mwanamke akipita mbele yako unamtamani lakini ukiokoka vile vitu vyote vinabadilika na kufuata mfumo wa Mungu na maelekezo ya Biblia" amesema Frans Kalitusi 

Aidha akaongeza kusema "Nilikuwa nafanya kazi kwenye Chuo cha Ufundi, kuna mali zilipotea kwenye mikono yetu mwisho wa siku tukagundulika, wenzangu wakakamatwa na kufukuzwa ila mimi nikaenda kwa Mganga ili nisiwezi kuonekana, boss wangu akiniona akawa anasahau na kumbukumbu zinampotea"

Aidha msanii huyo amesema baada ya hayo akaamua kufuata neema ya Mungu kwa kuokoka kupitia Mchungaji wake ambapo akaanza kumtangaza Yesu kwamba anaweza kwa yale aliyomfanyia.

 

Mwimbaji huyu anapatikana facebook kwa jina la Frans Kalitusi na Instagram anaitwa FransKalitusi

Unaweza kuusikiliza wimbo wake hapo chini

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine