Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Majaliwa ataka maeneo haya yatengwe

Thursday , 19th Nov , 2020

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa ujenzi wa karakana ya utengenezaji wa mabehewa na vichwa vya treni unaoendelea katika eneo la Kwala mkoani Pwani nakutaka mkurugenzi kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli maalum.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa

Majaliwa ameyasema hayo mara baada ya kufanya ukaguzi wa karakana hiyo  na kulipongeza shirika la reli Tanzania (TRC) kwa kazi nzuri wanayoifanya mbapo pia  amewaahidi watanzania kuwa miradi yote ya kimkakati ikiwemo ya reli Serikali itahakikisha inakamilika.

“Lazima kuwe na hoteli lazima kuwe na nyumba za kulala wageni , kuwe na maeneo ya masoko ya kibiashara , kuwa na maeneo ya usafiri mdogomdogo wa kuunganisha vijijini kuja hapa, taxi, bodada lazima litengwe eneo na mkurugenzi unanisikia hapa ninapo hesabu hesabu  hayo ndio mambo muhimu mazingira yote yatengenezwe kila mtu anufaike ”  amesema Waziri Majaliwa

Aidha Majaliwa ameweka wazi kuwa ana ridhishwa na kasi ya ujenzi wa karakana ya utengenezaji wa mabehewa na vichwa vya treni unaoendelea katika eneo la Kwala mkoani Pwani huku akisema kuwa huo ni mji mpya wa baadaye endapo mambo yote aliyoyasema yatafanyiwa kazi.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine