
Msanii wa BongoFleva Kusah
Kupitia video hiyo Kusah ameandika kuwa "Huyu Mungu wetu ni mwema sana, kuna muda nakaa nalia maana maumivu hayazoeleki ila kila nikifikiria ajali iliyotokea na mimi nilivyo bado najiona mwenye bahati kubwa, Ahsante Mungu kwa hili naamini ipo siku nitasimama tena inshaallah"
Zaidi tazama hapa chini kwenye video.