
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Semistocles Kaijage
Kupitia taarifa yao kwa vyombo vya habari, Tume imeruhusu Vitambulisho kadhaa kutumika ambavyo ni, Kitambulisho cha Taifa kinachotolewa na NIDA, Hati ya Kusafiria na Leseni ya Udereva.
Soma taarifa zaidi hapo chini