
Msanii na mfanyabiashara Shilole
Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital Shilole amesema, "Nina furaha ndani ya ndoa yangu, ninajiamini na sina mambo mengi ndiyo maana najivunia kuwa na mume wangu, ni ngumu kuongezewa mke wa pili kwa kweli la sivyo aniache mimi aoe mwanamke mwingine hata kama dini inaruhusu ila mimi sitakubali"
Zaidi tazama kwenye video hapa chini.