Saturday , 18th Oct , 2014

Kama njia ya kuhamasisha vijana wengine wenye vipaji kuamka na kushughulikia ndoto zao, staa wa muziki Belle 9 amesema kuwa, ni muziki pekee ambao ndio umemkomboa kutoka katika hali ngumu aliyokuwa nayo na kumfikisha katika maisha mazuri.

Belle 9

Belle 9 amesema haya ikiwa pia wiki hii yamefanyika maadhimisho ya siku ya kutokomeza umasikini duniani, na hivi ndivyo mkali huyu wa Vitamin Music alivyotuchana.

Tags: