Mvua
EATV na EA radio Digital imepokea baadhi ya taarifa za awali katika maeneo mbalimbali ya jiji la hilo.
Mwenge
Zahanati ya Mwenge jijini Dar es salaam, pamoja na sehemu ya Barabara inayoendelea kujengwa kwenye eneo hilo, imezingirwa na maji yanayotokana na mvua iliyoanza kunyesha asubuhi ya leo, na kupelekea watumiaji wa barabara
Mwananyamala
Hali ilivyo maeneo ya Mwananyamala 'Peace Round About' kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam.
Hali ilivyo maeneo ya Mwananyamala 'Peace Round About' kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam.#MvuaDar pic.twitter.com/XBAPMpv7MP
— East Africa TV (@eastafricatv) January 16, 2020
Jangwani
Barabara ya Jangwani ililazimika kufugwa kutokana na eneo hilo kujaa maji yaliyotokana na Mvua.

