Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe, Dkt. Ahmed Ramadhan.
Maiko amehitimu Shule ya Sekondari St. Agrey na alitarajia kupata Div. 1.
Akithibitisha kumpokea Mgojwa huyo, Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe, Dkt. Ahmed Ramadhan amesema Mgonjwa huyo amepatiwa matibabu na sasa anaendelea vizuri.
Aidha amewataka wazazi kuwa karbu na watoto wao katika kipindi hiki cha majibu ya mitihani.
Tazama video kamili hapo chini.
