Leo Jan. 7, 2020, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itaendelea na kesi ya mauaji ya Khamis Saidy, anayeshtakiwa kumuuwa mkewe