Dorah ametoa kauli hiyo wakai akizungumza kwenye kipindi cha Kikaangoni kinachorushwa na kupiia kurasa za Facebook na YouTube ya East Africa TV, ambapo amnesema moja ya wasanii ambao wanafosi kuigiza ni Piere.
"Kiukweli ukiniuliza ni Msanii gani kwenye sanaa hawezi kuigiza nitashinwa ila ukishakuwa Msanii unaweza kuigiza, ila katika watu ambao hawawezi kuigiza ni Pierre, usingekuwa ulevi asingeingia kwenye maigizo" amesema Dorah
Aidha kuhusiana na suala la mahusiano msanii amesema hawezi hata kidogo kutoka na Piere kuokana na tabia yake ya ulevi.
"Mpenzi wangu ni mrefu, mtu mfupi kama Pierre hapana, kwanza mlevi sana na mimi sipendi mwanaume anayelewa'amesema Dorah
Je unahitaji kuwekeza kwenye miradi ya Serikali, na ukapata faida ya kama yote, basi UTT AMIS ni sehemu sahihi
UTT AMIS hii ni Kampuni inayohusika na uendeshaji wa mifuko ya uwekezaji wa pamoja, na pia inatoa huduma za usimamizi wa mitaji binafsi na kwa sasa inasimamia mifuko mitano ambayo ni UMOJA, WEKEZA MAISHA, WATOTO, JIKIMU NA UKWASI.
Na hivi sasa UTT AMIS inakuletea mfuko wa BOND FUND, huu ni mfuko uliowazi unaowekeza katika masoko ya hati fungani za Serikali, hati fungani za Makampuni na katika masoko ya fedha, mfuko huu una faida lukuki ambapo unaweza kuwekeza kwa kiwango cha chini cha kuanzia sh. 50,000/-
Kwa maelezo zaidi piga namba za bure 0754 800 544, 0715 800 544
Tazama Mahojiano kamili ha[o chini




