Monday , 15th May , 2017

Timu ya Serengeti Boys inashuka dimbani leo kutupa karata yake ya kwanza mbelea ya bingwa mtetezi Mali katika michuano ya AFCON U- 17 huko Libreville nchini Gabon huku wakimkosa Nahodha wao Issa Abdi Makamba kutokana na kuvunjika mfupa wa mguu.

Kikosi cha leo dhidi ya Mali

Aidha, Uongozi wa Serengeti Boys wamekiweka hadharani kikosi chao kinachoshuka dimbani leo katika hatua ya makundi kwa mara ya kwanza huku Ally Msengi kushika nafasi ya aliyekuwa Kapteni wa kikosi hicho hapo awali.

1.Ramadhan Kabwili

12. Kibwana Ally

3. Nickoson Kibabage

5. Dickson Job

14. Ally Msengi (C)

2. Ally Ng’anzi

10. Asad Juma

13. Shaban Adda

15. Yohana Mkomola

20. Kelvin Naftal

11.Mohamed Abdallah