Geofrey Nyange
Makamu wa Rais wa klabu hiyo Geogrey Nyange Kaburu amesema kuwa klabu hiyo haihusiki na mpango huo kwa kuwa una lengo la kuleteana uhasama miongoni mwa viomgozi wa pande mbili.
Kaburu pia amezungumzia hali ya kikosi chake na kuweka wazi kuwa kwa sasa kimekamilika na hakina mahitaji katika idara yoyote.
Msikilize hapa