Wednesday , 1st Mar , 2017

Msanii wa muziki wa bongo fleva Lulu Diva amefunguka na kusema kuwa muziki kwake una thamani kubwa kuliko hata mpenzi wake na kama ikitokea mpenzi wake akihitaji yeye kuacha muziki yupo tayari kuachana naye ili yeye aendele kufanya muziki.

Lulu Diva

Lulu Diva anasema yeye anapenda sana muziki kwani ndicho kitu ambacho anaweza na kujisikia raha na furaha kukifanya,

Mbali na hilo, Lulu Diva amezungumzia suala la upendo kati ya wasanii wa kike nchini na kusema yeye anaona wanampa 'support' kiasi cha kutosha.

Tazama hapa.....