
Nuruel
Akiongea kupitia eNewz ya EATV, amesema "Mguu wangu wa kushoto ulivunjika hali iliyonipelekea kupata mawazo sana na nikaachana na maswala ya muziki hali iliyonifanya nipotee kimuziki hata hivyo ajali hii ilisababishwa na pombe japo kuwa kwa sasa nashukuru nimeacha kabisa.
Hata hivyo Nuruel alisema sababu kubwa ilikuwa ni ugovi ambao ulitokea baina ya wanafamilia na wakati huo alikuwa amelewa hivyo amewasihi wasanii kuachana na pombe kwa kuwa siyo nzuri kabisa.
Mtazame hapa........