
Wakimbizi wa ndani wakitafuta makazi Tomping, Sudan Kusini (UNMISS).
Msemaji wa MONUSCO Felix Prosper Basse amesema, yasemekana wakimbizi hao wamekimbia mapigano mapya nchini mwao.
Ghasia nchini Sudan Kusini zimeanza mwezi Desemba mwaka 2013 na hadi sasa bado kuna mapigano na Umoja wa Mataifa umeridhia jeshi la kikanda la ulinzi ambalo tayari serikali imekubali.
Kikosi hicho kitakuwa na askari elfu nne kutoka nchi za ukanda huo wa Afrika.