
Waziri Membe akipokea tuzo hiyo toka kwa Balozi wa Nigeria nchini Marekani, Profesa Adebowele Adufye

Burudani pia ilikuwepo, Hapa kiongozi wa kwaya iliyoalikwa akitumbuiza

Waziri Membe akionesha tuzo aliyopokea

Waziri Membe akimpa mkono wa shukrani Balozi wa Nigeria nchini Marekani, Profesa Adebowele Adufye
_0.jpg?itok=KOClaW_j)
Waziri Bernard Membe akimkabidhi, Naibu spika wa Bunge Job Ndugai tuzo hiyo

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata MulaMula akifurahia tuzo hiyo

Naibu spika wa Bunge Job Ndugai akionesha juu tuzo hiyo