Submitted by Brendansia on Thursday , 26th Jun , 2014
Mwanamziki wa kike nchini maarufu kama Snura akitawala jukwaa katika viwanja vya Samora mjini Iringa.
Snura akionesha umahiri wake wa dansi stejini.
Mwanadada Mwasiti akitumbuiza na mmoja wa mashabiki wake stejini Viwanja vya Samora Iringa.
Mwasiti na shabiki wake wakionyesha staili za kudansi.
Mashabiki waliofika uwanja wa Samora Iringa kushuhudia Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014.
Mwasiti akiwaimbia Mashabiki wake kwa hisia.
Mwanamziki wa miondoko ya RnB Linex akitumbuiza stejini Iringa.
Linex akiimba kwa hisia.
Linex akiunganika na mashabiki wake kuimba mashairi ya miziki yake mbalimbali.
Rich Mavoko nae hakukosekana katika viwanja vya Samora Iringa.
Akitumbuiza stejini Rich Mavoko alionesha pia Umahiri katika dansi.
Huku anajiunga na umati uliofika kushuhudia katika kuimba na kushabikia nyimbo zake zivumazo paka Iringa.
Rich Mavoko na Madansa wake wakionyesha yao stejini.
Mtangazaji wa kipindi cha televisheni cha Friday Night live (FNL) kirushwacho na East Africa televishen na Power Jams cha East Africa Radio Samuel Misago akijumuika na mashabiki kufurahia ujio wa Kilimanjaro Music Tour-Iringa.
Mtangazaji wa Kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Televishen na planet Bongo ya East Africa radio Abdallah Khamis maarufu kama Dulla akiamsha shamrashamra za mashabiki katika viwanja vya Samora mjini Iringa.
Mtangazaji Dulla na Dj Mafuvu AD wakiwasha moto katika viwanja vya Samora- iringa.
Msanii Izzo Business akitawala jukwaa la Samora Iringa.
Izzo Buziness akichana mistari yake huku akiungana ana mashabiki.
Izzo akipokea viitikio kutoka kwa mashabiki waliofika viwanja vya Samora kushuhudis Tamasha.
Mashabiki wa Iringa wakijimwayamwaya uwanjani kushuhudia tamasha la Kili Tour 2014.
Mashabiki wa Kilimanjaro Music tour wakionesha kufurahishwa na Tamasha la Iringa.
Nikki wa Pili wa kundi la Weusi akichana Mistari stejini.
Gnako nae akitumbuiza mashabiki wengi wa Weusi.
Joh makini nae aliunga mkono kundi lake maarufu kama weusi na kufanya yao wakiacha mashabiki wakicheza na kuimba.
Weusi wakifanya yao viwanja vya Samora.
Mashabiki wa Weusi wakijumuika kwa pamoja kuimba baadhi ya nyimbo zao kama bei ya mkaa na Gere.
Profesa jay akishambulia jukwaa na nyimbo zake maarufu.
Prof Jay akifurahia na mashabiki mara baada ya kutawalaa jukwaa.
Mwana FA akiungana na mashabiki wake katika kutumbuiza stejini.
Mwanamziki AY nae akimuunga Mwana FA mkono na kuchochea burudani kamili.
Mwana FA na AY wakitoa burudani ya aina yake kwa wakazi wa Iringa.
Juma Nature wa kundi la Wanaume Halisi akitawala jukwaa la Kili Music Tour Iringa.
Juma Nature akipagawisha mashabiki na dansi.
Juma Nature akiamsha shamrashamra za mashabiki wa Iringa.