Staa wa muziki wa Bongofleva, Linex Sunday
Ukata huo wa wengi ambao wamekumbana na hali hiyo ni baada ya watu kufanya matumizi makubwa wakati wa Sikukuu za kufunga na kufungua mwaka.
Linex amesema kuwa, anamini pia kuwa, bahati hiyo aliyonayo inahusiana kwa karibu na siku yake ya kuzaliwa ambayo huidhimisha mwezi wa pili, wakati wengine wanalia, binafsi kwa upande wake akiwa anachekelea kuingiza mkwanja.