Submitted by Brendansia on Thursday , 3rd Apr , 2014 Aminiel Mvungi akipokea zawadi yake kutoka kwa Mtangazaji wa EA Radio kipindi cha Power Jams Sam Misago. William Neckson akipokea zawadi yake kutoka kwa mtangazaji wa The Cruize Kenedy the Remedy. Mshindi wa Nokia Asha Emmanuel Sadala akipokea zawadi yake kutoka kwa mtangazaji wa Ea breakfast show Ian Dialo. Mtangazaji wa power Jams Sam Misago akimuonyesha mshindi jinsi ya kutumia simu yake ya Nokia Asha. Mtangazaji wa Ea radio Ian Dialo akijadiliana na Mshindi wa Nokia Asha baada ya kukabidhiwa zawadi yakke.