Cindy Sanyu
Cindy ambaye kwa sasa anatoka na Ken Muyiisa, mfanyabiashara ambaye ni baba wa mtoto wa Phina,
amesema kuwa amekuwa katika mahusiano yake ya awali kwa miaka kumi, na ameanza mahusiano na Ken baada ya jamaa huyu kutengana na Phina kwa miaka minne, hivyo si sawa kwa Phina kuanza kuharibu juna lake sasa.
Vita kati ya wanadada hawa wawili inaonekana kuwa katika hatua za awali kabisa, na hii ni
kutokana na maneno ya Phina kuwa hatatulia mpaka ahakikishe kuwa anamrudisha baba watoto wake
katika 'njia kuu'.
..................................