Kwa mujibu wa waandaaji, chama cha riadha nchini Rwanda (RAF), mbio hizo za Kigali pia zitakuwa na msisitizo wa kudumisha amani kupitia michezo wakimbiaji watashindana katika mbio ndefu (Kilometa 42) na half marathon (kilometa 21) kwa upande wa wanawake na wanaume. mbio hizo zitaanza uwanja wa Amahoro.
Wanariadha wengi kwa sasa wapo katika matayarisho na mashindano mbalimbali yakiwemo ya Olimpiki yatakayofanyika Rio de Janeiro, Brazil mwaka 2016.