Saturday , 22nd Jul , 2017

Taifa Stars leo inatarajia kushika dhidi ya Amavubi ya Rwanda katika mechi ya marudiano ya kuwania kufuzu kushiriki michuanio ya CHAN 2018 inayotarajiwa kufanyika nchini Kenya.

Katika mechi ya mwanzo iliyofanyika wiki iliyopita katika viwanja vya CCM Kirumba Jijini Mwanza, Taifa Stars vs Amavubi ilimalizika kwa sare ya 1-1.

Taifa stars inatakiwa kushinda mechi ya leo au kutoka sare ya 2-2 au zaidi ili kuweza kuendelea katika hatua inayofuata. 

Kikosi cha Taifa Stars kitakachoanza leo dhidi ya Amavubi leo Jijini Kigali, nchini Rwanda,

1. Aishi Manula
2. Boniphace Maganga
3. Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Salim Mbonde
6. Himid Mao
7. Simon Msuva
8. Mzamiru Yassin
9. John Bocco
10. Raphael Daudi
11. Shiza Kichuya

Kikosi cha akiba
12. Said Mohamed 
13. Hassan Kessy 
14. Nurdin Chona
15. Salimin Hoza
16. Said Ndemla 
17. Joseph Mahundi 
18. Stamili Mbonde