
Mechi hiyo inapigwa kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona ambapo timu zote zinaingia zikiwa na mwenendo tofauti kwenye ligi hiyo.
Nanda Fc wameshinda mechi moja kati ya 12 zilizopita huku ikionekana kusuwasuwa msimu huu kama ilivyokuwa msimu uliopita.
Nayo Simba imekuiwa ikishidwa kupata pointi tatu kwa mechi tatu zilizopita kwa kulazimisha sare hali inayoifanya ishindwa kuendeleza kasi ya kuzifukuza timu zinazoongoza ligi.