Messi raia wa Argentina amefunga mabao 51 katika mechi 49 hivyo kumfanya kushinda tuzo hiyo kwa Aprili huku akiwa tayari ameshapachika mabao 504 akiwa na kikosi cha Barcelona.
Mkali wa kutupia mabao kwenye ligi ngumu ya Laliga ya Uhispania, Lionel Messi ameshinda tuzo ya mwanasoka bora wa mwezi wa ligi hiyo kubwa duniani.