![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/field/image/1_6.jpg?itok=GwU_4bgF×tamp=1472580061)
Mabingwa watetezi Azam FC wanatarajia kuwakaribisha Stand United ya Shinyanga uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam huku Mbeya City wakiwa wenyeji wa Kagera Sugar , uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Kwa upande wa Simba SC inatarajia kuwakaribisha Ndanda FC ya mjini Mtwara uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.