Thursday , 2nd Jun , 2016

Kiungo Ilkay Gundogan amesajiliwa na klabu ya Manchester City na kuwa usajili wa kwanza wa kocha Pep Guardiola kutoka klabu ya Borrusia Dortmund.

Kiungo Ilkay Gundogan amesajiliwa na klabu ya Manchester City na kuwa usajili wa kwanza wa kocha Pep Guardiola kutoka klabu ya Borrusia Dortmund.

Gundogan mwenye umri wa miaka 25 amesaini mkataba wa miaka minne wenye thamani ya £21m.

Gundogan ana majeruhi ya goti na anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa miezi 5, wakati ligi kuu ya soka nchini Uingereza itakuwa imeshaanza kwa miezi 3.