Serengeto Boys
Afisa habari wa TFF Alfred Lucas amethibitisha hayo wakati akizungumza na kipindi cha Kipenga cha EA Radio kuhusiana na ratiba ya timu ya Serengeti Boys ambayo kwa sasa iko mkoani Kagera kwa ziara ya michezo miwili ya kirafiki dhidi ya Burundi.
Hivi karibuni, FIFA ilitangaza kuifungia Mali katika soka la Kimataifa kutokana na Serikali ya nchi hiyo kuingilia masuala ya soka hatua ambayo ingeiondoa Mali katika mchuano hiyo jambo ambalo huenda lingeweka unafuu kwa Serengeti Boys.
Kurejeshwa kwa mali kunamaamisha kuwa sasa katika kundi B, Serengeti Boys bado itaendelea kuwa na timu za Mali, Niger na Angola.,
Msikilize hapa Alfred Lucas akifafanua...........

