Tuesday , 21st Jun , 2016

Mengi yanayosemwa kuhusiana na msanii Y-ton anasema hajali na anapata fedha inayomfanya aendelee kupendeza daile na kupata show hadi za nchi za nje kama Msumbiji na nyingine nyingi.

Y-TON

Msanii wa muda mrefu wa muziki wa bongo fleva Y-toni aliye tamba na ngoma kama Masebene na Mama aliyomshirikisha Barnaba ameiambia Enews sababu za kuwa kimya kwa muda mrefu ambapo watu wengi wemesema ni kujihusisha na uvutaji wa bangi kwa wingi .

Habari nyingine zilizoenea ni kwamba Y-ton alikwama kutoa ngoma yake kutokana na aliyekuwa meneja wake HK wamemwagana mda mrefu lakini za chini kutoka kwa mtu wa karibu na Ytoni ametupenyezea story kwamba msanii huyo alikuwa akimuuguza mama yake mzazi.