Saturday , 20th Jun , 2015

Timu nzima ya East Afrika Radio na EATV, leo hii kwa kushirikiana na Aliance Francaise wanatia nguvu katika kuipamba World Music Day, shughuli ya burudani kusherekea muziki ambayo tayari imekwishaanza kuanzia mida hii Makumbusho Village K'Nyama Dar.

World Music Day - Dar

Timu nzima ya East Afrika Radio na EATV, leo hii kwa kushirikiana na Aliance Francaise wanatia nguvu katika kuipamba World Music Day, shughuli ya burudani kusherekea muziki ambayo tayari imekwishaanza kuanzia mida hii Makumbusho Village K'Nyama jijini Dar.

Mpango huu mzima utatiwa nakshi kwa burudani kali ya muziki kutoka kwa Yamoto Band, RIMO, IFA Band, DCMA pamoja na Young Stars katika kuhakikisha kuwa unaburudika wakati wote na kufurahia zaidi siku yako ya leo.

Mpango huu mzima unaletwa kwako bila kiingilio, ikihitajika jitihada yako tu kufika pale kujumuika na wengine, World Music Day (Fete De La Musique)