
Waimbaji hao wawili wa Injili wataimba katika Kanisa la Jamii ya Kenya Inayoishi Marekani, huko Marietta kuanzia leo hadi tarehe nne.
Balozi wa Kenya katika Umoja wa Mataifa, Macharia Kamau anatarajiwa kuhudhuria kushuhudia Willy Paul na Ruth Wamuyu wakimuimbia bwana jumapili hii.