Wednesday , 13th Jan , 2016

Wasanii kutoka visiwani Zanzibar, wametumia wakati wao leo hii kutembelea kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na kiongozi wa mapinduzi, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya mapinduzi ya kitaifa hapo jana.

msanii wa muziki kutoka kisiwani Zanzibar

Katika tukio hilo, kati ya mambo yaliyofanyika ni pamoja na wasanii hao wakiongozwa na Baby J kuomba dua mbele ya kaburi hilo na kupiga picha za kumbukumbu ambapo hapa anatolea ufafanuzi mwenyewe juu ya kile kilichofanyika.