
msanii wa muziki wa Uganda Mamuli Katumba
Matembezi ya kuokoa maisha ya Mamuli Katumba yaliyopangwa kufanyika mwezi uliopita sasa yamesogezwa mbele na waandaaji na yatafanyika Jumapili ijayo baada ya maandalizi mazuri kufanyika.
Mbali na wasanii matembezi hayo ya kusaidia matibabu ya Katumba yanatarajiwa kuongozwa na Spika wa Bunge la Uganda Bi. Rebecca Kadaga, ambayo yatahusisha wanasiasa, wana usalama pamoja na watu wengine.
