Wednesday , 11th Nov , 2015

Baada ya kuachia kolabo ya Mkungu wa Ndizi inayomhusisha TID pamoja na Q Chief, TID amesema kazi waliyofanya itakuwa na maisha, na itajitangaza yenyewe kutokana na kurudisha ladha iliyokosekana kwa muda.

Q Chief, J Wolper, TID

TID amesema kuwa, yeye pamoja na hasimu wake huyo wa zamani wana furaha sana, ikiwa inafahamika pia kuwa mitaa inangoja kwa hamu ujio wa wakali hao ambao wanashikilia rekodi ya kuwahi kuzitikisa chati za bongo katika kipindi cha miaka ya nyuma.

Kuhusiana na ujio wa kazi hiyo, TID anaeleza hapa.

Tags: