Friday , 18th Apr , 2014

Rapa mkali na wa siku nyingi katika game ya muziki Tanzania, ametoa wito kwa wasanii wenzake kuona umuhimu wa kuwekeza pesa wanazotengeneza katika muziki katika vyanzo vingine mbalimbali vya mapato, na kuacha kuutegemea muziki kuendesha maisha.

Anna Peter na Proffesa Jay

Profesa Jay ameyasema haya hasa kutokana na swala linaloonekana dhahiri hapa Bongo kwa wasanii wengi kushindwa kuendelea na kudumu kwa muda mchache tu na faida wanayojivunia kutoka katika game ya muziki.

Msikie Professa mwenyewe hapa;