Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Nikki Mbishi atangaza kuwakomboa wanawake

Sunday , 23rd Apr , 2017

Rapa kutoka Tanzania anayefanya vizuri na ngoma ‘Sam Magoli’ Nikki Mbishi ametangaza ujio wake mpya wa kutaka kuwarekebisha wadada ambao wanatumia pesa nyingi kurekebisha miili pamoja na ngozi.

Nikki Mbishi

Rapa kutoka Tanzania anayefanya vizuri na ngoma ‘Sam Magoli’ Nikki Mbishi ametangaza ujio wake mpya wa kutaka kuwarekebisha wadada ambao wanatumia pesa nyingi kurekebisha miili pamoja na ngozi.

Kupitia ukurasa wake Instagram Nikki Mbishi ametoa ujumbe huo kwa kuweka kionjo kuwa anayo zawadi ya wimbo utakaokwenda kwa jina la 'Dada pumzisha mwili wako' maalumu kwa akina dada wanaotumia muda na pesa zao katika kujitengeneza vile wanavyotaka wawe. 

Aidha Nikki amefafanua kuwa lengo la kuachia wimbo huo ni kutoa elimu zaidi kwa matumizi ya madawa na vipodozi vyenye madhara madogo na makubwa katika miili ya watumiaji.

"Baada ya 'IamSorryJK na Sam_Magoli' msanii wako bora wa siku zote @nikkimbishi anakuja na kazi mpya iitwayo 'Dada Pumzisha Mwili Wako'.

Wimbo ambao ni dedication kwa wadada wote wanaodhani uzuri unauzwa dukani kiasi cha kutumia vipodozi na dawa za kubadili maumbo na sura zao. Lengo la wimbo ni kukumbusha madhara ya kutumia vipodozi kupita kiasi kitu ambacho kimekuwa kikihatarisha afya ya ngozi na hata uzazi kwa ujumla pamoja na mambo mengine ya kitaalamu zaidi"- Nikki Mbishi.

Nikki ambaye ni miongoni mwa marapa ambao wamewahi kuingia katika orodha za wasanii ambao nyimbo zao zimewahi kufungiwa kwa kuwa na mashairi yasiyo na maadili, ametaja tarehe rasmi ya ujio wa ngoma hiyo kuwa ni 28  April 2017.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine