Wednesday , 22nd Oct , 2014

Wasanii nyota wa nchini Kenya Nonini na Wyre wameanza kuwachengua mashabiki wao kwa kutoa kazi mpya ya pamoja iitwayo 'Mbele' ambayo inatarajiwa kutoka ndani ya mwezi huu.

msanii Nonini wa nchini Kenya

Nonini ameelezea kuwa huu ni muunganiko wao mpya wa pamoja ambao mashabiki watapata kuona utengenezaji wa awali wa ngoma hiyo 'Behind the Scenes' kabla ya kutoka rasmi Oktoba hii.