Thursday , 19th Feb , 2015

Ney wa Mitego, mkali wa michano ambaye ameweza kujivunia mafanikio makubwa kutoka katika gemu ya muziki, amesema kuwa amekuwa ni moja kati ya mastaa ambao hutumia mtandao vizuri kuonyesha uhalisia wa maisha na mafanikio,

Ney wa Miteg

Amesema anafanya hivyo kwa lengo la kuwahamasisha vijana kujituma.

Ney amesisitiza kuwa, ni muhimu kwa kila staa kufanya hivyo, licha ya wengi kutafsiri kitendo hicho kama kujidai ama majigambo fulani hivi, akikazia kuwa hata kama watu wakichukia, kile anachokionesha ni ukweli anacho, na kinahamasisha wengine kuongeza jitihada ili kufanikiwa.

n