
msanii wa muziki wa kizazi kipya Malaika
Malaika amesema kuwa licha ya changamoto ya hali ya hewa ya mvua iliyopo kwa sasa Jijini Dar es salaam ndani ya siku hizi mbili, amefurahi kufanya kazi na waongozaji wa video hiyo na kuifanya video ya kwanza bila kuwa na stress, kazi hiyo ikiwa imeshikiliwa na muongozaji mwanamke anayekwenda kwa jina Kylie kutoka UK.
