Monday , 2nd Nov , 2015

Msanii V'ee Jay anayefanya muziki aina ya Bongo fleva ameachia wimbo wake mpya uitwao story na amemshirikisha msanii mwenzako anayeitwa self.

V'ee Jay ambaye kwa sasa anaishi Marekani amesema wimbo wa 'story' sana sana unazungumzia historia ya maisha yake kwa mambo mengi aliyopitia hadi sasa.

Anaamini kuwa katika story ya maisha yake watu wengi wanaweza kupata kitu cha kujifunza kutokana na mambo aliyopitia.

Bofya hapa kuutazama wimbo huo https://www.youtube.com/watch?v=1__kvPYhxe8