Akiongea na eNewz Msami alitamba kuwa ameanza kuendesha magari tangu hajaanza kuimba, na hii ni ndinga yake ya nne sasa kumiliki huku akimaliza kwa diss kubwa zaidi kwa kusema wasanii wengi wa Bongo huendesha magari ya 'Show Room' wakifadhiliwa na wafanyabiashara.
Msami hakutaka kutaja jina hata la mmoja kati ya wasanii hao lakini aliyaacha maneno yake hewani kama kijembe.