
Msanii wa muziki Mrisho Mpoto
Mpoto ameeleza kuwa, shughuli hiyo imemfikisha sehemu mbalimbali hususan vijijini kuelimisha makundi ya watu, hususan wakina mama kuchukua muda zaidi kufikia miaka 2 kunyonyesha watoto wao, ili kuwafanya wawe na afya na lishe bora kama anavyoeleza hapa.
