Cyrill
Ngoma mbili za star huyo, 'Alowa' pamoja na 'Nikikuona' ambazo zinaonesha utofauti wake mkubwa, ni rekodi ambazo binafsi anakiri kuwa zimemfikisha kule ambapo hakutarajia, ikiwepo kutikisa chati za muziki nje ya mipaka ya nchi.
Cyrill Kamikaze, star wa muziki ambaye amemudu kubadilisha aina ya muziki anaoufanya kwa kiasi kikubwa amesema kuwa, hatua hiyo ni kutokana na kutaka kuongeza mashabiki na pia kukitumia kipaji chake kwa ukamilifu.