Linah na mpenzi wake - Williams Bugeme (Boss Mutoto)
Linah ameieleza eNewz kuwa, anakumbana na changamoto za hapa na pale ikiwepo muonekano wa mvuto wa Boss Mutoto - mpenzi wake kwa wanawake wengine, kitu ambacho anakabiliana nacho, ingawa kwa upande wa kurasimisha mahusiano hayo wawili hawa kwa mujibu wa Linah mwenyewe, wameeleza kuwa hawawezi kumpangia Mungu.