Saturday , 10th May , 2014

Izzo Business ambaye sasa ameanza kuchana anga za kimataifa kupitia muziki wake, baada ya video yake ya Tumoghelle kuanza kugongwa katika moja ya kituo kikubwa kabisa Afrika, ametaja mambo mawili makubwa ambayo ameyapata baada ya kupigwa kimataifa.

Izzo B

Izzo Business ambaye anajivunia hatua hii kubwa, amesema kuwa hadhi ya muziki wake imeongezeka kwa kiasi kikubwa na pia Afrika imeanza kuelewa uwepo wa Izzo Business, kitu ambacho ni dalili nzuri kwa muziki wake.

Msikilize hapa akifunguka zaidi.