Bebe Cool
Akizungumza na EATV Bebe Cool amesema tuzo hizo ni wazo zuri na pia ni jambo sahihi kwa wasanii kwa wakati huu, kwani hata kwenye siasa tayari wametambua umuhimu wa Afrika Mashariki .
Pia Bebe Cool amesema sasa ni takriban miaka 15 tangu itambulishwe East Africa Television na East Africa Radio, na kutoa fursa ya muziki wa Afrika Mashariki kusikika, hivyo ni kitu kikubwa kwao.